Bienvenue

Karibu kwa mtandao wa internet kwa lugha ya Kihavu. Katika mtandao huu tuna waletea mambo ambayo yameandikwa pia tunawaletea utajiri ya utamaduni, mila ya wahavu na hata utamaduni yao ya kidini. Mtandao huu unakuletea mambo ama kazi mbalimbali kama inayo husu vitabu fulani vya Biblia ambavyo vimekwisha tafsiriwa katika lugha ya Kihavu, nyimbo, video, vikaratasi vya kusoma na kazalika.  Inakuletea pia namna unaweza ku dawnlode kile kinacho kupendeza kwenye mtandao huu. Kwahiyo tunakuomba kujisikia huru kwenye mutandao huu na kutuletea maoni yako. 

Bonyeza apa kwa kudawnilode Enjili ya Yesus Kristo ka alivyo andika Luka kwa Kihavu, Kifaransa na Kiswahili. 

Partager